TATIZO LA KUTOKWA NA HEDHI NYINGI SASA LAZUA MAKUBWA KWA WANAWAKE

TATIZO LA KUTOKWA NA HEDHI NYINGI SASA LAZUA MAKUBWA KWA WANAWAKE  - Tanzania
  • TATIZO LA KUTOKWA NA HEDHI NYINGI SASA LAZUA MAKUBWA KWA WANAWAKE  - Tanzania
Description :


Habari jamani wanawake wote:Daaah! Sasa NI takribani miaka miwili na miezi mwanamke mmoja aitwaye Anna alikuwa akisumbuliwa na kutokwa na hedhi yenye damu nyingi na hili tatizo limemtesa saaana.
Kwanza kwa kawaida mwanamke huwa anapata hedhi Mara tatu Hadi Mara Saba katika Kila mzunguko wa hedhi katika kila mwezi lakini yeye alikuwa anapata hedhi siku nyingi kuzidi kawaida yake na hivyo imeletea matatizo mengi ya kiafya .
Vilevile amekuwa akipata hedhi nzito ambayo ilikuwa kila baada ya masaa mawili kubadilisha pedi nyingine.
Pia kila siku amekuwa akivaa pedi zaidi ya moja kuogopa kulowanisha nguo za nje kwa sababu ya kutokwa na damu nyingi saana.
Vilevile kuamuka Mara kwa Mara usiku kubadilisha pedi nyingine.
Hata anapokuwa katika sehemu nzuri na mpenzi wake alikuwa hawi comfortable kwani mda mwingi anatokwa na damu na kuhofia aibu mbele za watu.na hata kutojiamini pia.

Na mbaya zaidi mwanamke huyu alianza kudhoofika kabisa afya ya ajili ikiwemo kujiamini na wasiwasi na pia Alianza kupungukiwa na damu mwilini Jambo ambapo ilikuwa changamoto kubwa saana kiafya na hata kuhatarisha maisha yake kwa ujumla.

Lakini leo hii hana la kusema zaidi ya kumshukuru mungu kwani ameweza kupona tatizo lake la miaka alilokuwa nalo na anaendelea vizuri na shughuri zake Kama kawaida .Lakini pia pamoja na kumshukuru mungu vilevile amewashukuru wataalamu waliotengeneza dawa za C24/7 na nyingine nyingi zilizowasaidia kumponyesha na mpaka yupo vizuri Sasa kiafya.
Na kitu ambacho ningependa kukupa NI kwamba Kama na wewe unachangamoto Kama hii utakuwa umeidhurumu nafsi yako Kama utashindwa kujaribu dawa hizi kutibu tatizo lako ahsante na karibu ,pia tunatoa ushauri Bure kabisa ukiwa na tatizo lolote la uzazi kwa mwanamke.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data