TATIZO LA GAUTI (GOUT) NI NINI?

TATIZO LA GAUTI (GOUT) NI NINI? - Tanzania
  • TATIZO LA GAUTI (GOUT) NI NINI? - Tanzania
Description :

GOUT NI NIN!??
Huu ni ugonjwa hatari unaoathiri viungo vya mwili
unaosababishwa na kuwepo kwa kiwango kikubwa cha
tindikali ya urea (URIC ACID) kwenye damu. Mwili ukishindwa
kutoa nje kiwango kinachostaili hupelekea mrundikano wa Uric Acid kwenye majimaji yanayozunguka joint ( synovial
fluid) na hatimae kutengeneza vijiwe vidogo vidogo vya tindikali ambavyo husababisha maumivu na kuvimba kwa joints

HATUA ZA GAUTI:
Gauti inaweza kutokea ghafla au ikawa sugu. -Ikitokea ghafla
hua maumivu makali na mara nyingi ina athiri joint moja.
- Ikiwa sugu inaathiri joint zaidi ya moja na huambatana na
kutengeneza uvimbe au vinundu kwenye joint.
Wanaume wanahatari kubwa zaidi kupata Gauti kuliko wanawake kwasababu kwa wanaume kiwango cha Uric acid
huongezeka kwanzia miaka 20, lakini kwa wanawake huongezeka baada ya kukoma hedhi.

VISABABISHI:
- Mwili kutengeneza kiwango kikubwa cha Uric Acid kutokana na matumizi makubwa ya baadhi ya vyakula na vinywaji kama
vile nyama nyekundu, maziwa, vyakula vilivyosindikwa kwa kemikali, pombe, vyakula na vinywaji venye sukari zaidi nk
- matumizi ya dawa kwa kiwango kikubwa.

DALILI:
- Maumivu makali kwenye joint hususani miguu, mikono, vidole, magoti na viwiko vya miguu.
- kusikia hali ya kuwaka Moto kwenye baadhi ya sehemu za mwilli
- kupata homa mara kwa mara
- kuzidisha au kutokuwepo kwa jasho
- magoti kuvimba kwa kujaa maji.
- katika hali nyingne dalili hujiondoa baada ya siku 4 hadi 5 na mtu kuhisi hali ya kawaida.

ATHARI:
Mtu mwenye gauti ana hatari ya kupata magoniwa kama kisukari, mawe kwenye figo, saratani ya damu, magonjwa ya
moyo nk
- kupata ulemavu wa viungo au kupoteza maisha ikiwa sugu.

Tiba:
Kutumia virutubisho maalumu kwaajili ya kupunguza kiwango cha tindikali ya Urea, uondoa infection kwenye majimaji
yanayozunguka joint(synovial fluid) a kuimarisha mifupa iliyoathirika hapa dawa za kutuliza maumivu hazitakupa positive results kwa sababu bado acid itaendelea kuzalishwa kwa kasi.

Chukua hatua Mapema.

Wasiliana nasi kwa kupiga simu au tutumie ujumbe kwa Ushauri na Tiba.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data