Tatizo LA ganzi kwenye miguu na mikono

Tatizo LA ganzi kwenye miguu na mikono - Tanzania
Tatizo LA ganzi kwenye miguu na mikono - Tanzania
  • Tatizo LA ganzi kwenye miguu na mikono - Tanzania
  • Tatizo LA ganzi kwenye miguu na mikono - Tanzania
Description :

TATIZO LA GANZI KWENYE MIGUU NA MIKONO //MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE.

Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengi sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati ufumbuzi.

NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI?
1:UMRI
Kawaida umri ukiwa umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu,

Hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kufa, au kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea.

2:KISUKARI
Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguuko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu halo hii husababisha mishipa kusinyaa ambalo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufasaha maeneo mbali mbali kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi.

3:DAMU NZITO
Damu inapokua nzito pia hupelekea mtu kupata tatizo la ganzi.
Kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia.

TIBA.
TUNA FOOD SUPPLEMENTS (VIRUTUBISHO LISHE)
-Hizi dawa za asili za kupambana natatizo hili bila madhara
-Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au ambayo huwa chanzo cha tatizo hili.

-Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo huondoa hatari ya kiharusi

-Huzibua mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupita.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data