Tangazo

Tangazo - Tanzania
  • Tangazo - Tanzania
Description :

Chuo cha ukombozi education institute dar-es-salaam tunapenda kutangaza za masomo za muda mfupi na mrefu kwa muhula wa masomo 2021/2022 intake ya mwezi march kwa kozi mbalimbali
Dar-es-salaam campus(mbezi-mwisho)
Kozi zinazotolewa:_
Secretarial course(uhazili) kwa miezi 6 - mwaka mmoja
Nursery school teacher(ualimu wa awali) kwa mwaka mmoja
Computer engineering(ufundi computer) kwa miezi 6 - mwaka mmoja
Information technology(it) kwa mwaka mmoja
Hotel management(upishi na usimamizi wa hoteli) kwa miezi 3, miezi 6 - mwaka mmoja
Tailoring(ushonaji) kwa miezi 3,6 - mwaka mmoja
Qt(kidato cha kwanza mpaka cha nne kwa miaka miwili na kidato cha 5 na cha 6 kwa mwaka mmoja) na kituo cha wanaorudia mitihani yaani pc
Masomo yanaendelea wahi nafasi ni chache
Gharama za masomo ni nafuu sana zinalipwa kidogokidogo wasiliana nasi kupitia

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data