TABIA YA WANAWAKE KUCHUKULIA POA TATIZO LA HORMONES IMBALANCE SASA LIMEWALIZA WENGi.

TABIA YA WANAWAKE KUCHUKULIA POA TATIZO LA HORMONES IMBALANCE SASA LIMEWALIZA WENGi.  - Tanzania
  • TABIA YA WANAWAKE KUCHUKULIA POA TATIZO LA HORMONES IMBALANCE SASA LIMEWALIZA WENGi.  - Tanzania
Description :

KWANINI UNAPATA HORMONE IMBALANCE AU (KUVURUGIKA KWA HOMONI)?
:Hili ni tatizo ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.

Sasa changamoto kubwa wanawake wamekuwa na tabia ya Kuchukulia poa na kutofanya check up ya afya zao Jambo ambapo limehatarisha usalama wa afya zao na nasema hivyo kwa sababu hata Mimi mtoto wa Jirani yangu alikuwa anapata changamoto nyingi saana mfano wakati mwingine alikuwa analalamika Mara oh!
-Maumivu wakati wa tendo LA ndoa.

-Pia wakati mwingine amekaa saana na mume wake bila Kushika mimba takribani miaka kadhaa.

- Mara alalamike siku zake za hedhi kuto enda kwenye Mzunguko wa kawaida au hedhi kubadilika.

-Pia akawa anaongezeka uzito.
-Kupungua hamu ya tendo LA ndoa.

- Wakati mwingine akiamka anakuwa na Hasira za Mara kwa Mara.pia
-Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge
-Uke kuwa mkavu.
-kutoka jasho jingi usiku.
-maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
-mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula.

Hivyo alihangaika mda wote akihisi NI Maumivu ya kawaida kumbe alikuwa tayari ana dalili za mvurugiko wa hormones mda mrefu bila kujua Jambo ambapo mwishowe amekuja kutambua wakati tatizo limekuwa na Madhara makubwa saana ya kuvurugika kwa homoni na miongoni mwa madhara aliyoyapata NI Kama.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data