Type de Transactionsell
Superficie600 m2
Weka maudhui :
VIWANJA VIKO MWASONGA KIGAMBONI
√Km 14 kutoka darajani jipya Kigamboni (nyerere bridge) na ni kilometa 1 kutoka kituo Cha daladala.
√ Viwanja vina ukubwa Mita 20 kwa 20 na Mita 30 kwa 20 bei ya kila kiwanja milion 2 tu.
√Huduma muhimu maji na umeme zipo
√ Malipo ni mkupuo mmoja (cash)
Angalizo: VIWANJA VIMEPIMWA NA UTAPATA HATIMILIKI KUTOKA SERIKALINI.