Upungufu wa nguvu za kiume

Upungufu wa nguvu za kiume - Tanzania
  • Upungufu wa nguvu za kiume - Tanzania
Weka maudhui :

DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
Mwanaume anayekabiliwa na tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume huonyesha dalili zifuatazo:-
1. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara. Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali ) unaposimama, hutakiwa kuwa imara kama msumari, lakini kwa mwanaume anaye kabiliwa na tatizo hili uume wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na huweza kusinyaa wakati wowote. Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya uume. Mishipa ya uume ndio inayo ufanya uume usimame barabara.
2.kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara moja. Hii husababishwa na kutokuwa na msukumo mzuri wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume
3. Kutojisikia hamu ya tendo la ndoa. Hili ni matokeo ya kuwa na msongo wa mawazo
4. Kufika kileleni mapema
5. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha kabisa. Hali hii hutokea pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume linapokuwa limekomaa
6.Uume kusinyaa na kurudi ndani. Hapa uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa hali hii husababishwa na upigaji punyeto kw a mda mrefu pia magonjwa hasa chango lá kiume au ngiri
PIA VYANZO VIKUU VYA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
.upigaji punyeto wa mda mrefu
.msongo wa mawazo
.ugonjwa wa kisukari
.shinikizo lá damu (pressure
.kupooza kwa mwili
.kuugua chango la kiume
.ulevi ulokithiri
.woga wa kufanya tendo la ndoa
.kuwa na wasiwasi wa kumudu kutekeleza tendo la ndoa
.uzoefu wa kukatisha tamaa wa siku za nyuma
.ulaji mbovu wa vyakula vya kisasa na vyenye mafuta kupita kiasi
.mazingira yasiyoridhisha wakati wa tendo la ndoa.
Karibu kwa ushauri

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa