Tunakopesha Viwanja Kigamboni Mjimwema

Tunakopesha Viwanja Kigamboni Mjimwema - Tanzania
Tunakopesha Viwanja Kigamboni Mjimwema - Tanzania
  • Tunakopesha Viwanja Kigamboni Mjimwema - Tanzania
  • Tunakopesha Viwanja Kigamboni Mjimwema - Tanzania

Type de Transactionsell

Superficie600 m2

Weka maudhui :

Tunauza na kukopesha plots za makazi na Biashara ziko kata ya Mjimwema Kigamboni mtaa wa Kibugumo.
*Viwanja vipo umbali wa kilometa 9 kutoka feri posta.
1. *Mil. 8 sqm 400 sawa na Mita 20*20
2. *Mil. 10 sqm 500 sawa na Mita 25*20
3. *Mil. 12 sqm 600 sawa na Mita 30*20
Malipo kwa awamu unalipia nusu ya Bei ya kiwanja inayobaki unamalizia ndani ya miezi 6.
NB: Viwanja vina nyaraka za upimaji (approved survey document). Ukikamilisha malipo hati inatoka kwa jina lako kwa jina lako. Hakuna haja ya transfer.

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa