Surveyed plots at Kibada Kigamboni

Surveyed plots at Kibada Kigamboni - Tanzania
Surveyed plots at Kibada Kigamboni - Tanzania
Surveyed plots at Kibada Kigamboni - Tanzania
 • Surveyed plots at Kibada Kigamboni - Tanzania
 • Surveyed plots at Kibada Kigamboni - Tanzania
 • Surveyed plots at Kibada Kigamboni - Tanzania

Type de Transactionsell

Superficie640 m2

Weka maudhui :

Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Kibada Kigamboni.
Viwanja vizuri sana vimebaki vitano tu. Kila kimoja kina mita 32 kwa 20 (sqm 640)
Bei milion 15 kwa kimoja malipo awamu 1.
Umbali kutoka kituo cha BUS kilometa 1.
Huduma maji, umeme, supermarket, hospital zipo.

Vidokezi vyetu vya usalama

 • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia.
 • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
 • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
 • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
 • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
 • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
 • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa