Weka maudhui :
>>Ni kwa ajili ya kutunzia viatu.
>>Ina droo kwa ajili ya kutunzia vifaa vya kusafishia viatu kama vile kiwi,brash nakadhalika.
>>Juu ina sponji,na mtu anaweza kukaa wakati anavaa viatu.
>>Inafanya viatu vyake vikae katika hali ya usafi na usalama zaidi.
>>Imetengenezwa kwa mbao.
>>Ukubwa wake ni (33.3inchiL*12.5inchiW * 19.5inciH) urefu 80cm,upana 30cm,kimo 47cm.