Shamba Lililopimwa Lipo Kibaha Kwa Bei Rahis Sana

Shamba Lililopimwa Lipo Kibaha Kwa Bei Rahis Sana - Tanzania

 • Shamba Lililopimwa Lipo Kibaha Kwa Bei Rahis Sana - Tanzania

Type de Transactionsell

Superficie45600 m2

Weka maudhui :

Shamba lililopimwa lipo kibaha, njia rahisi na fupi ni ya kupitia bagamoyo road ukivuka daraja linalotenganisha bunju na bagamoyo upande wa kushoto uelekeo wa bagamoyo kuna barabara iliyochongwa vizuri, umbali ni kilometa 7 kutoka bagamoyo road kwenda shambani yaani kutokea baobab sekondari hadi shambani, shamba lipo kwenye barabara pia iliyochongwa vizur nayo.
Shamba lenyewe lipo wilaya ya kibaha, kata ya saangani sehemu inaitwa kidimu, shamba lina jumla ya hekari 8 zilizopimwa zote, na linauzwa kuanzia hekari 1 sio kwa kiwanja kimoja moja, na pia kuna huduma za msingi kama vile maji, hospitali, umeme na mengineyo, yani ni mji tayar na kuna wakazi wengi tuu. Bei imepungua sasa
Hekari 1 bei 5 million maongezi yapo kidogo sn, Me ndio mmiliki hakuna dalali hapa. Kama upo serious Please
Call/Sms 0789361555

Vidokezi vyetu vya usalama

 • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia Deals.
 • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
 • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
 • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
 • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
 • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
 • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa