Professional Wordpress Website Designing Service.

Professional Wordpress Website Designing Service. - Tanzania
Professional Wordpress Website Designing Service. - Tanzania
Professional Wordpress Website Designing Service. - Tanzania
Professional Wordpress Website Designing Service. - Tanzania
 • Professional Wordpress Website Designing Service. - Tanzania
 • Professional Wordpress Website Designing Service. - Tanzania
 • Professional Wordpress Website Designing Service. - Tanzania
 • Professional Wordpress Website Designing Service. - Tanzania
Weka maudhui :

Hellow, niko hapa kukusaidia kutengeneza Website kwa ajili ya biashara, kampuni au taasisi yako. Nafahamu kabisa uko hapa kwasababu unatamani kuwa na website itakayokufaa kulingana na matumizi yako.

Naomba nikuambie kwamba niko tayari kuzungumza na wewe na kukupa msaada katika hilo. Nakushauri usipoteze nafasi hii…

Hapo Mwanzo nilikuwa nikitumia uwezo wangu kutengeza Websites za Biashara zangu mwenyewe na nlikuwa nikichukulia suala la kutengeneza Website ni la kawaida na kwamba kila mtu anaweza tu, ila,…

Niligundua kuwa sio suala dogo kabisa pale nilipoingia Jamii Forums na kutoa Post Simple tu ya jinsi ya kutengeneza website, nlishangaa watu kama watatu walinitafuta mpaka whatsapp ili niwasaidie kutengeneza website za kampuni na mwingine ya shule yao.

Nilipokuwa nikizungumza na hawa watu kwenye Whatsapp, ndipo nilipogundua kuwa hili swala la kutengeneza website ni tatizo kubwa kwa watu wengi sana wenye, kampuni, biashara au taasisi, pamoja na uwepo wa kampuni zinazotoa huduma hii lakini wengi hawajali kazi wanatazama pesa tu…

Basi nikaamua niweke mpango ambao utawasaidi watu kwa wewe, katika jambo hili la kutengeneza website iwe ya biashara, kampuni,n.k…

Jinsi Ninavyofanya Kazi na Wateja Wangu:

-Tunawasiliana kwanza ili kujua website tutakayotengeneza itakuwaje, hiki ni kipengele nnachopenda kukiita CONSULTATION. Napenda sana kutumia Whatsapp sehemu hii kuwasiliana, ni rahisi sana kuelewana, kuulizana maswali na kupeana mawazo.

-Mimi sio Website Designer, mimi ni Digital Marketer, inamaana web designing ni sehemu ya ujuzi wangu, najua vitu vingi zaidi ya Web Designing, na ndiyo maana watu wangu kutokea Jamii Forums walinipenda kwa sababu ya mawazo niliyokuwa nayaongezea kwenye kazi zao.

-Baada ya Hatua ya Kwanza ya Consultation, Utakuwa na Uhuru wa Kuchagua, kama Utapenda kufanya Kazi na Mimi au La…. Kama Utakuwa tayari basi nitakupa taarifa kuhusu Vifaa vya Ujenzi wa Website yako ya Domain na Hosting Pamoja na Gharama zake kutokana na mahitaji na uwezo wako.

-Vifaa Hivi, yani Domain na Hosting ni gharana unazohitaji kushughulikia kabla ya kuanza kutengeneza Website, kama vile unapotaka kuanza kujenga nyumba.
So, Utavilipia mwenyewe kama unaweza au ambacho nafanyaga na wateja wangu wananitumia kiasi hicho nawafanyia manunuzi kwa Visa Card yangu.

-Baada ya kumaliza kununua Domain na Hosting, nitaanza kazi mara moja, na inaweza kunichukua siku 3 mpaka 7, kumaliza Website Toleo la kwanza, yote ni kulingana na ukubwa wa website unayohitaji. Kisha nitakapo maliza Toleo la Kwanza nitawasilisha kwako utaifanyia ukaguzi na kunipa maoni yako ili kuweza kuiboresha kazi, mpaka utakapoiona inafaa.

-Tukifanikiwa kufanya Marekebisho yote uliyokuwa unayahitaji, basi Mwisho kabisa nitakutumia Document yenye taarifa zote za Website yako, pamoja na Invoice ya Gharama za Huduma yangu, na Ndipo Utakapofanya Malipo ya Huduma ya Kutengenezewa Website Yako.

-Pia, nitakupa siku 14 za ambazo kama kutakuwa kunatatizo lolote lile umeliona kwenye website yako au kuna marekebisho unayahitaji, basi ndani ya siku hizi 14 kuanzia pale utakapokabidhiwa kazi, nitakufanyia hayo marekebisho BURE!

Karibu Tuzungumze na Kujenga Kilicho Bora!
Erick Ngimba
Uwe na Siku Njema.

These Help me Reach You…

#mfano wa website
#jinsi ya ku host website
#website ni nini
#gharama za website
#jinsi ya kutengeneza blog ya kulipwa
#jinsi ya kutumia wordpress
#jinsi ya kutengeneza internet
#jinsi ya kutengeneza blog jamii forum
#jinsi ya kutengeneza website
#jinsi ya kutengeneza blog jamii forum
#blogger
#jinsi ya kutengeneza pesa kupitia blog
#gharama za website
#jinsi ya kutengeneza website
#gharama za kuanzisha website
#jinsi ya ku host website
#jinsi ya kutengeneza website
#mfano wa website
#gharama za website
#gharama za kuanzisha website
#freenom
#faida ya website
#jinsi ya kufungua website
#jinsi ya kutengeneza blog
#mfano wa website
#gharama za website
#gharama za kuanzisha website
#jinsi ya kutengeneza website
#jinsi ya ku host website
#faida ya website
#mfano wa website
#website ni nini
#website design prices in tanzania
#faida za website
#jinsi ya kutengeneza website
#jinsi ya kutengeneza blog kwenye simu
#jinsi ya kutengeneza email address
#blog ni nini
#jinsi ya kutengeneza imail
#jinsi ya kutengeneza internet
#blogger

Vidokezi vyetu vya usalama

 • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia.
 • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
 • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
 • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
 • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
 • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
 • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa