Nyumba2 zenye faida za kisasa zinauzwa

Nyumba2 zenye faida za kisasa zinauzwa - Tanzania

 • Nyumba2 zenye faida za kisasa zinauzwa - Tanzania

Nombre de pièces3

Superficie800 m2

Weka maudhui :

Nyumba 2 mpya za kisasa zinauzwa kwa pamoja zipo kinondoni kwenye compounds moja sehemu safi moja waweza kuishi mwenyewe na nyingine ukapangisha au zote ukapangisha kodi kwa mwezi laki7 nyingine laki6 kwa mwezi kila moja inajitemea geti lake kila nyumba ina vyumba3 na sebule na parking inajitegemea nyumba bado ziko vizuri sana zinauzwa milioni250 maongezi yapo nyumba zina hati,pia nyumba km hizi zipo maeneo ya kinondoni,Tabata,Kigamboni, zipo za kuanzia nyumba2/3/4 na 6 zote zina hati (Title deed) unachagua kutokana na mahitaji yako dili sana kwa wafanya biashara au wastaafu kupata kipato maana kuna ambazo unakusanya milioni3 kwa mwezi. kwa maelezo zaidi nipigie simu.

Vidokezi vyetu vya usalama

 • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia.
 • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
 • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
 • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
 • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
 • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
 • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa