NYUMBA INAUZWA MAENEO YA MTONI KIJICHI MBAGALA KUU

NYUMBA INAUZWA MAENEO YA MTONI KIJICHI MBAGALA KUU - Tanzania
Weka maudhui :

Habari wanajamii forum naitwa Leonard ni Recovery officer wa Tambaza Auction Mart, kutokana na kushindwa kulipa deni la mkopo aliochukua benki ya Tanzania Postal Bank, Kampuni ya Tambaza Auction Mart and General Broker tunauza nyumba ya mdaiwa Ester Aloyce Mushi iliyopo maeneo ya mtoni kijichi maeneo kata ya mbagala kuu manispaa ya Temeke. SIFA ZA NYUMBA:(1)Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala (II)Sebule (III)Sehemu ya Chakula (iv) Choo na bafu, (v)Maji na Umeme (vi) nyumba imezungushiwa uzio (vii) nyumba ipo M150 kutoka barabara ya rami (viii) Nyumba ina leseni ya makazi TMK039563 L.O No TMK/MBGK/KJC 19/82.....

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia Deals.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa