Nombre de pièces4
Superficie500 m2
Sifa Za nyumba
-Ipo mita 100 Kutoka mwisho wA Dar-Salaam road,Ipo eneo litwalo kisasa Dodoma.
-Ina vyumba 4 vyote master
-Ina A/c vyumba viwiwli na sitting room A/C
-Ina fan vyumba viwili
-Ina public toilet
-Ina dinning ya Kisasa
-Ina servant quarter kwa nje yenye jiko na store,chumba kimoja na public toilet
-Ina heater system ya umeme kwa sasa na ukitaka mfumo wa sola umeandaliwa na pia mfumo wa heater kila chumba umeandaliwa
-Fance yake in electric Fance kote, Fance light za juu na chini
-Geti lake Lina mfumo wa kufungulia remote-ukitaka kuwekewa
-Nyuma ya nyumba kuna hema la kupumzikia na kupunga upepo na sinki la kunawia mikono
-kuna nyumba ya Mbwa ya Kisasa
-Water tank stank na tank ila lita 2000
-ukoka umepandwa nje ya fence
-Viungo vina kokote za urembo wenye mvuto-white stones
-Nyumba Ina paking shade ya gari mbili pia nafasi ya gari sita kwa ujumla
-Nyuma ya nyumba kuna karo la vyombo lenye stoo ndogo na karo la kufulia nguo.
-nyumba Ina taa za kisasa kwa ndani na pia mfumo wa cable za Tv umeshawekwa.
Document
-nyumba Ina hati ya miaka 99
-nyumba in bima, Bei yake Inauzwa 350 milioni maongezi yapo.Inasifa ya kuishi Balozi yeyote yule kwa maelezo nipigie simu.