Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya  udereva - Tanzania
  • Natafuta kazi ya  udereva - Tanzania
Weka maudhui :

Mimi ni dereva nina uzoefu wa miaka 10 barabarani, nipo upande wa maroli transit na LOKO. Pia kwa magari madogo ninaendesha bila kuchagua aina ya gari iwe manual gear ama automatac gear. Nina weza kuifuata kazi popote .

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa