Kiwanja Kinanauzwa Nala-Dodoma Mjini

Kiwanja Kinanauzwa Nala-Dodoma Mjini - Tanzania
  • Kiwanja Kinanauzwa Nala-Dodoma Mjini - Tanzania

Type de Transactionsell

Superficie782 m2

Weka maudhui :

Nauza kiwanja, kipo eneo la Nala nje kidogo ya dodoma mjini, kimepimwa na kina square mita 782. Kipo umbali wa kama mita 500 toka barabara kuu kwenda singida. Pia kipo jiran na huduma ya umeme na maji na kipo kwenye makaz ya watu. Kwa anahitaj au kuhitaji maelezo zaidi anitafute tufanye biashara

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia Deals.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa