Karibu Ufundishwe Darasa Za Programming, Web Design Na Usaidiwe Final Year Projects

Karibu Ufundishwe Darasa Za Programming, Web Design Na Usaidiwe Final Year Projects - Tanzania
Weka maudhui :

Ninatoa notes za programming languages pamoja na video tutorials bila kusahau nakufundisha binafsi. Pia ninafanya final year projects ambapo malipo inategemea ukubwa wa projects.
Programming languages ninazofundisha Java, Phython, C#, Javascript na nyinginezo. Bila kusahau web design(HTML AND CSS) from scratch. Yeyote anakaribishwa.

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia Deals.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa