Nombre de pièces5
Superficie26 m2
Weka maudhui :
Nyumba ipo Kisesa Wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza, eneo ya Kitumba A, karibia na eneo la chuo cha Mipango ambacho ndo wanaanza kujenga. Nyumba bado haijaezekwa. Niyakisasa na ina choo cha ndani, sebule, dinning room. Kiwanja nikikubwa hatua 27 kwa 26 Na vyumba vitatu. Kwenye bei maongezi yapo