DALILI ZA PID, MADHARA NA TIBA

DALILI ZA PID, MADHARA NA TIBA - Tanzania
  • DALILI ZA PID, MADHARA NA TIBA - Tanzania
Weka maudhui :

PIID NI NINI DALILI MADHATA NA TIBA YA UGONJWA HUO

PID(Pelvic Inflammatory Disease)
Ni maambukizi katika via vya uzazi)

Maambukizi haya yanaweza kuletwa na vyanzo mbali mbali kama vile

•Magonjwa : kisonono ,Kaswendwe' Uti au fangasi rudizi

•Utoaji Mimba

•Matumizi ya madawa kiholela

• Vizuizi mimba

•Kua na wapenzi wengi

•Mtindo wa maisha(Ulaji mbovu na kutokuzingatia usafi) na nk

Hizi ni BAaadhi Ya DALILI ZA PID ni ugonjwa hatari sana kwa wanawake na madhara yake ni makubwa

1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa

2️.Kuwashwa sehemu za siri

3️.Uke kutoa harufu mbaya

4️.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

5️.Uke kuwa wa ulaini sana

6️.Maumivu wakati wa tendo la ndoa

7️.Kuvurugika Kwa hedhi

8️.Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi

9️.Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa

?Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula
.


MADHARA YA PID

•Ugumba

•Kansa ya shingo ya kizazi

•Mirija ya uzazi kuziba

•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

TIBA YA PID

#PID inatibika na kupona Kwa haraka
Kwa ushauri au tiba ya tatizo hili waweza kuwasiliana nasi ni bure kabisa

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa