Karibu Huduma kwa Wateja ya Jumia Deals.co.tz
Hapa tutakupatia majibu katika maswali yanayoulizwa mara kwa mara na njia za kuuza na kununua kwa kwa haraka na Usalama.Njia za Usalama Usalama
Njia za Usalama unapo nunua kupitia Jumia Deals.co.tz
- Kutana na muuzaji katika sehemu ya watu wengi na unayo ifahamu
- Usilipie chochote kabla ya kukagua ubora wa bidhaa utakayo nunua
- Usitume pesa kwa njia za kisasa kama tigopesa, Mpesa, Airtel money au western union
- Kuwa makini na bei zisizo za kawaida
- Usimpatie mtu taarifa zako za ki benki
Kuwa makini zaidi wapi
- Ofa inaonekana kama ni nzuri mno mpaka haiwezekani.
- Mtu anakuomba maelezo ya benki yako au namba ya kadi yako ya benki.
- Mtu huyo wa pili anakataa kuonana na wewe.
Njia za kushtukia utapeli
Kuwa Makini zaidi wapi:
Kila tangazo limepitiwa na kuhalalishwa na timu yetu ya Content ili kuhakikisha usalama katika kuuza na kununua kupitia Jumia Deals. Kama unahisi kuna hali ya utapeli wowote, tafadhari wasiliana nasi kupitia kitufe cha "Taarifa za Tangazo". Kama unahisi kuwa mteja anaweza kuwa ni tapeli , tafadhari wasiliana nasi kwa haraka kupitia barua pepe [email protected] au kupitia fomu ya "Wasiliana nasi".