Sera ya Faragha

Jedwali la yaliyomo

1. Jumla
2. Taarifa ipi ya kibinafsi tunakusanya
3. Jinsi tunavyotumia taarifa yako ya kibinafsi
4. Madhumuni uuzaji
5. Kuki
6. Ufikiaji kwa, mapitio na marekebisho ya habari yako ya kibinafsi
7. Ulindaji na uhifadhi wa taarifa yako ya kibinafsi
8. Taarifa nyingine

1. Jumla

Sera hii ya faragha inaelezea sera ya www.vendito.co.tz kuhusiana na ukusanyaji, utumizi, uhifadhi, ugavi na ulindaji taarifa yako ya kibinafsi ("Sera ya Faragha"). Sera hii ya Faragha inatumika kwa tovuti ya Jumia Deals.co.tz ("Tovuti") na tovuti, programu-tumizi, huduma na zana zote husiani ambapo rejeleo linafanywa kwa sera hii ("Huduma"), bila kujali jinsi unayofikia Huduma, ikijumuisha ufikiaji kupitia vifaa vya rununu. Katika matamshi rasmi, (Legal Entity name) ("Jumia Deals.co.tz", "sisi"), ndiye mdhibiti taarifa yako ya kibinafsi.

Wigo na ridhaa:Kwa kutumia www.vendito.co.tz na Huduma husiani, unatoa ridhaa wazi kwa Jumia Deals.co.tz kwa ukusanyaji, utumizi, ufichuaji na uhifadhi wa taarifa yako ya kibinafsi na sisi, kama ilivyoelezewa katika Sera hii ya Faragha na Sheria zetu za Matumizi.

Jumia Deals.co.tz inaweza kubadilisha Sera hii ya faragha mara kwa mara. Tunakushauri kuisoma mara kwa mara. Mabadiliko makubwa kwa Sera yetu ya Faragha yatatangazwa kwenye Tovuti yetu. Sera ya Faragha iliyorekebishwa itachukua usukani papo hapo baada ya kuonekana mara ya kwanza ikiwa imewekwa kwenye Tovuti yetu. Sera hii ya Faragha itachukua usukani kuanzia tarehe 20 Februari 2015.

Taarifa ipi ya kibinafsi tunakusanya

Unaweza kutembelea Tovuti yetu bila kusajili kwa akaunti. Unapoamua sisi kupokea taarifa yako ya kibinafsi, unakubaliana kwamba taarifa ile inatumwa na kuhifadhiwa kwenye seva zetu. Tunakusanya aina zifuatazo za taarifa ya kibinafsi:

Taarifa tunayokusanya kiotomati: Unapotembelea Tovuti yetu, kutumia Huduma zetu na au kujibu matangazo au maudhui mengine, tunakusanya taarifa inayotumwa kwetu na tarakilishi yako, kifaa chako cha rununu au kifaa kingine chako kinachotoa ufikiaji. Taarifa hii inajumuisha, lakini sio tu:

 • taarifa kutokana na muingiliano wako na Tovuti na Huduma zetu, ikijumuisha, lakini sio tu, nambari ya utambulisho ya kifaa, aina ya kifaa, taarifa ya anuani ya kijiografia, taarifa ya tarakilishi na muunganisho, takwimu kuhusu kuonwa kwa kurasa, trafiki kuelekea na kutoka www.vendito.co.tz, URL rejeshi, data ya tangazo, anuani ya IP na taarifa msingi ya rekodi za wavuti; na
 • Taarifa tunayokusanya kupitia kuki, nguzo za wavuti and na teknolojia sawia. Taarifa unayotupea: Tunakusanya na kuhifadhi taarifa yoyote unayoingiza kwenye tovuti yetu au unayotupea unapotumia Huduma zetu. Taarifa hii inajumuisha, lakini sio tu:
 • taarifa unayotupea unapojisajili kwa akaunti au kwa Huduma unayotumia ikijumuisha kwa mfano, jina lako, anuani, anuani ya barua pepe, namabri ya simu au taarifa ya kifedha;
 • taarifa ya ziada ambayo huenda ukatupea kupitia tovuti za mitandao ya kijamii au Huduma za vyombo vingine;
 • taarifa inayotolewa katika muktadha wa usuluhishaji mgogoro, mawasiliano kupitia Tovuti yetu au mawasiliano yanayotumwa kwetu; na
 • taarifa kuhusu anuani yako na anuani ya kifaa chako, ikijumuisha taarifa ya kipekee ya kifaa chako ya utambulishaji ikiwa umewezesha huduma hii kwenye kifaa chako cha rununu;
 • Taarifa kutoka kwenye vyanzo vingine: Huenda tukapokea au kukusanya taarifa ya ziada kukuhusu kutoka kwa vyombo vingine na tuiongezee kwenye taarifa ya akaunti. Taarifa hii inajumuisha, lakini sio tu: data ya kidemografia, data ya urambazaji, data ya ziada ya mawasiliano na data ya ziada kukuhusu kutoka kwa vyanzo vingine, kama vile mamlaka za umma, hadi uenezi unaoruhusiwa na sheria.

3. Jinsi tunavyotumia taarifa yako ya kibinafsi

Unakubaliana kwamba huenda tukatumia taarifa yako ya kibinafsi (tazama hapo juu) kwa madhumuni yafuatayo:

 • kukupa ufikiaji kwa Huduma zetu na Usaidizi kwa Wateja kwa mbinu za barua pepe au simu;
 • kuzuia, kugundua na kuchunguza shughuli zinazoweza kuwa zimezuiliwa au sio halali, ulaghai na upotovu wa usalama na kutekeleza Sheria zetu za Utumizi;
 • kubinafsisha, kupima na kuboresha Huduma zetu, maudhui na matangazo;
 • kuwasiliana nawe, kwa barua pepe, arifa ya push, arafa (SMS) au kwa simu, ili kuuliza kuhusu Huduma zetu;
 • kwa dhumuni la shughuli lengwa za uuzaji, sasisho, na utoaji wa uendelezaji kimsingi na mapendekezo yako ya jumbe (ambapo inatumika), au kwa madhumuni mengine yoyote kama ilivyowekwa katika Sera hii ya Faragha; na
 • kukupa huduma zingine ambazo umeomba, kama ilivyoelezewa tulipochukua taarifa.
Kushiriki taarifa na usajili kwenye tovuti za mitandao ya kijamii:

Huenda tukatoa Huduma za uingiaji flani ambazo zinakuwezesha kufikia Tovuti au tovuti husika kwa kutumia taarifa yako ya uingiaji ndani. Pia tunaweza kutoa huduma ambazo zinakuwezesha kushiriki taarifa na tovuti za vyombo vingine za mitandao ya kijamii, kama vile Facebook, Google Plus na Twitter. Ukitupatia ufikiaji kwa taarifa ya kibinafsi iliyohifadhiwa kwenye tovuti za vyombo vingine, wigo wa ufikiaji kwa taarifa hii ya kibinafsi itabadilika kwa kila tovuti na itaamuliwa na mipangilio ya lisakuzi chako mwenyewe na ridhaa yako ikiwa ungependa kuunganisha akaunti yako ya vyombo vingine kwa akaunti yako ya www.vendito.co.tz na utoe ridhaa kwa sisi kufikia taarifa ile katika akaunti hizi za vyombo vingine, unakubaliana kwamba tunaweza kukusanya, kutumia na kuhifadhi taarifa kutoka kwa tofuti hii ya vyombo vingine kulingana na Sera hii ya Faragha. Uhamisho wa taarifa yako ya kibinafsi hadi kwa vyombo vingine: Huenda tukafichua taarifa yako ya kibinafsi kwa vyombo vingine kulingana na Sera hii ya Faragha na sheria na kanuni husika. Kama ilivyoelezewa zaidi chini ya Sehemu ya 4, hatutafichua taarifa yako ya kibinafsi kwa vyombo vingine kwa madhumuni yao ya uuzaji bila ya ridhaa yako wazi. Huenda tukashiriki taarifa yako ya kibinafsi na:

 • kampuni za Afrika Internet Group (yaani Jumia Deals.co.tz ni sehemu ya Kundi lililotajwa) ili kutoa maudhui na Huduma za pamoja (kama vile usajili na usaidizi kwa wateja), ili kuzuia, kugundua na kuchunguza shughuli haramu, ukiukaji wa sera yetu, na/au upotovu wa usalama wa data unaowezekana, na ili kuunga mkono ufanyaji uamuzi kuhusu bidhaa, tovuti, programu-tumizi, Huduma, zana na mawasiliano. Kampuni za Africa Internet Group zitatumia tu taarifa hii ili kukutumia jumbe za uuzaji wakati wewe, mwenyewe umewaomba, na wataumia taarifa yako binafsi kulingana na sera zao za faragha.
 • watoa huduma ambao tuna makubaliano pamoja ili kutusaidia kutoa Huduma zetu kwenye tovuti, kama vile watoa huduma za kifedha, mashirika ya uuzaji na wasaidizi wa kiufundi. Katika matukio kama haya, taarifa ya kibinafsi itasalia chini ya udhibiti wa Jumia Deals.co.tz.
 • vyombo vingine fulani (kama vile wamiliki haki za mali ya kitaaluma, mamlaka za usimamizi, mamlaka za kodi, wawekezaji, polisi na mamlaka nyingine za udhibiti) ikiwa tunatakiwa kufanya hivyo na sheria, au kwa mujibu wa Sera yetu ya Faragha. Huenda tukashiriki taarifa yako ya kibinafsi:
 • ili kuambatana na majukumu ya kisheria au amri ya mahakama; au
 • ikiwa hii ni muhimu kwa uzuiaji, ugunduaji au mashtaka ya makosa ya jinai, kama vile ulaghai, udanganyifu au mashtaka, au
 • ikiwa ni muhimu ili kudumisha sera zetu au kulinda haki na uhuru wa wengine.
 • vyombo vingine kwa ambao umetoa ridhaa ya kushiriki taarifa yako kupitia [sawia na hapo juu], k.m. katika mfumo wa ushirikiano;
 • kampuni ambazo tunakusudia kuunganisha pamoja ndani ya mazingira ya kupangwa upya au zile zitatuchukua yetu;
 • mmiliki mali ya kitaaluma ikiwa mmiliki wa haki miliki ya mali ya kitaaluma au mpatanishi katika imani nzuri anaamini kwamba tangazo linakiuka haki za mmiliki. Kabla taarifa ya kibinafsi kutolewa, mmiliki IP ataingia katika makubaliano, pamoja na mambo mengine, unaosema kwamba taarifa inatolewa tu katika sharti kali kwamba inaweza tu kutumiwa katika mazingira ya kesi za kisheria na/au kupata ushauri wa kisheria na/au kujibu maswali kutoka kwa mtangazaji husika

Bila mpaka kwa hayo, sisi kwa ziada - katika jitihada zetu za kuheshimu faragha yako na kuweka tovuti bila watu au vyombo vyenye nia mbaya - hatutafichua taarifa yako ya kibinafsi kwa vyombo vingine bila amri ya mahakama au ombi rasmi kutoka kwa serikali kulingana na sheria husika, isipokuwa pale tunapoamini kwa nia njema kwamba ufichuaji ule (i) ni muhimu kwa madhumuni ya, au katika uhusiano na, kesi yoyote ya kisheria (ikijumuisha kesi za kisheria zinazotazamiwa), kwa dhumuni la kupata ushauri wa kisheria au ni muhimu kwa madhumuni ya kuanzisha, kutekeleza au kutetea haki za kisheria, (ii) ni muhimu kwa uzuiaji au uguduaji uhalifu, kukamatwa au kushtakiwa kwa wahalifu, au tathmini au ukusanyaji wa kodi au ushuru, (iii) umeombwa na shirika ambalo hufanya shughuli za udhibiti umma.

Taarifa unayoshiriki kwenye www.vendito.co.tz:Tovuti yetu inaruhusu watumizi kushiriki matangazo na taarifa nyingine na watumizi wengine, na hivyo kufanya taarifa hii iliyoshirikishwa kuweza kufikiwa na watumizi wengine. Kwa sababu Tovuti yetu pia inakuwezesha kuwasiliana moja kwa moja na mnunuzi au muuzaji, tunapendekeza kwamba uzingatie jinsi unavyoshiriki taarifa yako ya kibinafsi na wengine. Unawajibika peke yako kwa taarifa ya kibinafsi binafsi unayoshiriki kupitia tovuti yetu na hivyo basi hatuwezi kuhakikishia faragha au usalama wa taarifa uliyoshiriki na watumizi wengine.

Ukitembelea tovuti yetu kutoka kwa tarakilishi inayotumiwa na wengine au tarakilishi katika duka la wavuti, tunapendekeza kwa nguvu kwamba utoke nje (log off) baada ya kila kikao. Ikiwa hautaki tarakilishi inayotunmiwa na wengine kukukumbuka na/au taarifa yako ya uingiaji ndani, utahitaji kuondoa kuki na/au historia ya ziara zako za tovuti.

4. Madhumuni ya Uuzaji

Unakubaliana kwamba huenda tukatumia taarifa iliyokusanywa na sisi ili kukutumia utoaji, zimebinafsishwa au la, au kuwasiliana na wewe kwa simu kuhusu bidhaa au Huduma zinazotolewa na Jumia Deals.co.tz au kampuni za Afrika Internet Group.

Hatutauza au kukodisha taarifa yako ya kibinafsi kwa vyombo vingine kwa madhumuni yao uuzaji bila ridhaa yako wazi. Huenda tukaunganisha taarifa yako na taarifa tuanyokusanya kutoka kwa kampuni zingine na tuitumie kuboresha na kubinafsisha huduma na utendaji wetu.

Wakati hungependa tena kupokea mawasiliano ya uuzaji kutoka kwetu, unaweza, ambapo husika, kubadilisha mapendekezo yako katika akaunti yako, au kufuata kiungo ha kujiondoa katika mawasiliano ya uuzaji uliyopokea.

5. Kuki

Unapotumia Huduma zetu, sisi na watoa huduma wetu huenda tukaweka kuki (faili za data kwenye simu yako au uhifadhi wa kifaa chako cha rununu) au nguzo za wavuti (picha za kielektroniki zinazowekwa katika msimbo wa ukurasa wa wavuti) au teknolojia sawia. Tunatumia kuki ili kutusaidia kukutambua wewe kama mtumizi, ili kutoa uzoefu bora kwenye Tovuti yetu, ili kupima ufanisi wa uendelezaji na ili kuhakikisha uaminifu na usalama kwenye tovuti yetu. Kwa taarifa zaidi kwa kina kuhusu utumizi wetu wa teknolojia hizi, tunakurejelea kwa Sera kuhusu Kuki, Nguzo za Wavuti na Teknolojia Sawia.

6. Kufikia, Kupitia na Kubadilisha Taarifa Yako ya Kibinafsi

Hatuwezi kurekebisha taarifa yako ya kibinafsi au taarifa ya akaunti yako. Unaweza kurekebisha taarifa yako mwenyewe kwa kuingia ndani ya akaunti yako ya Jumia Deals.co.tz. Unapoweka tangazo maalum, unaweza kubadilisha uwekaji wako au kufuta ujumbe wako. Tutachakata ombi lako ndani ya kipindi mwafaka cha muda na tuchakate taarifa yako ya kibinafsi kulingana na sheria husika. Mbadala, unaweza pia kuwasiliana na Usaidizi kwa Wateja katika [email protected] ili kufikia taarifa yako ya kibinafsi iliyohifadhiwa na sisi ambayo haiwezi kufikika moja kwa moja kwenye Jumia Deals.co.tz. Huenda tukatoza ada ili kufidia gharama; hata ada ili haitazidi kiwango kinachoruhusiwa na sheria. Ikiwa taarifa yako sio sahihi au ni pungufu au haina maana kwa madhumuni ambayo tunachakata taarifa yako, unaweza kutuomba kurekebisha au kufuta taarifa yako. Ikiwa una maswali yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia mada "Naomba Sera ya Faragha": kwa kuandikia: [email protected]

7. Ulindaji na uhifadhi wa taarifa yako ya kibinafsi

Tunalinda taarifa yako kwa kutumia hatua za kiufundi na kiutawala (kama vile firewalls, data ya usimbaji, na kimwili na vidhibiti ufikiaji vya kiufundi na kiutawala kwa data na seva) zinazowekea mipaka uhatari wa kupotezwa, utumizi mbaya, ufikiaji bila idhini, ufichuaji, na ubadilishaji. Hata hivyo, ikiwa unaamini akaunti yako imetumiwa vibaya, tafadhali wasiliana nasi kupitia Fomu ya Mawasiliano au katika [email protected]

Tunahifadhi taarifa ya kibinafsi kwa muda usiozidi ule unakubalika kisheria na kufuta taarifa ya kibinafsi wakati sio muhimu tena kwa madhumuni kama ilivyoelezewa hapo juu.

8. Taarifa nyingine

Utumizi mbaya na mawasiliano kibiashara ambayo hayajaombwa ("taka"): Hatuvumilii utumizi mbaya wa tovuti yetu. Huna ruhusa ya kuongeza watumizi wengine wa Jumia Deals.co.tz kwenye orodha yako ya utumaji jumbe (barua pepe au posta) kwa madhumuni ya kibiashara, hata kama mtumizi amenunua kitu kutoka kwako, isipokuwa mtumizi yule ametoa ridhaa yake wazi. Ukigundua kwamba mtu anatumia vibaya Tovuti yetu (barua pepe taka au mzaha), tafadhali tujulishe kwa barua pepe: [email protected]

Hairuhusiwi kutumia rasilimali zetu za mawasilaino za mwanachama-kwa-mwanachama kutuma taka au maudhui ambayo inakiuka Sheria zetu za Utumizi kwa njia yoyote nyingine. Kwa usalama wako, tunaweza kukagua jumbe kiotomatia na kukagua taka, virusi, shughuli hadaa na nyingine zenye nia mbaya au maudhui haramu au ambayo yamepigwa marufuku. Hatuhifadhii jumbe kwa kudumu zilizotumwa kupitia rasilimali hizi.

Vyombo Vingine: Isipokuwa imetolewa vingine katika Sera hii ya Faragha, Sera hii ya Faragha inatumika tu kwa utumizi na uhamisho wa habari tunayokusanya kutoka kwako. Jumia Deals.co.tz haina udhibiti juu ya sera za faragha za vyombo vingine ambavyo huenda unatumia. Tunapofanya kazi na vyombo vingine au kutumia zana za vyombo vingine ili kutoa fulani, tutaonyesha kwa wazi ni sera ipi ya faragha inatumika kwako. Kwa hivyo tunakutia moyo kuuliza maswali kabla ya kufichua taarifa yako ya kibinafsi kwa wengine.

Mawasiliano: Ikiwa una maswali yoyote kuhusu Jumia Deals.co.tz na tovuti yetu tafadhali wasiliana katika [email protected]