Karibu kwenye huduma kwa Wateja ya Jumia Deals.co.tz

Hapa unaweza kupata majibu kwa maswali ambayo yanaulizwa mara kwa mara pamoja na kujifunza njia za kuuza na kununua kwa usalama.

Wasiliana Nasi

Kama hutapata majibu kulingana na maswali yako , tafadhari jaribu kujaza fomu hiyo hapo chini na tutakupatia ufumbuzi kwa muda mfupi.