5Ha Land at Mtwara

5Ha Land at Mtwara - Tanzania
  • 5Ha Land at Mtwara - Tanzania

Type de Transactionsell

Superficie5000 m2

Weka maudhui :

Eneo hilo lina ukubwa wa ekari 5 liko Mtwara Mjini sehemu inaitwa Mbae Mifugo au kwa jina lingine Mbae Juu, ni eneo kubwa ambalo ukiwa kwa juu unaona mandhari ya mji mzima wa Mtwara ikiwemo bahari ya Hindi, juu ni upepo wa kutosha huna haja ya AC, liko karibu na Mtwara Airport pamoja na barabara ya lami kwa umbali wa kama kilomita 1 hivi. Unaweza kujenga makazi na hata kulifanyia kuwa shamba. Lina documents halali za mmiliki.

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia Deals.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa