3m x 3m Shop Frame for Rent, Kariakoo - Dar es Salaam

3m x 3m Shop Frame for Rent, Kariakoo - Dar es Salaam - Tanzania
  • 3m x 3m Shop Frame for Rent, Kariakoo - Dar es Salaam - Tanzania

Type de Transactionrent

Superficie9 m2

Weka maudhui :

Napangisha Fremu ya Duka, Kariakoo
.
√ Ina mita 3 x 3 (futi 10)
√ Inatazama barabara ya mtaa wa Muhonda
√ Inafaa kuwa ofisi ya usafirishaji mizigo, kuweka mashine ya kuprinti, stoo ya kuhifadhi bidhaa za dukani, n.k
√ Haina udalali
.
Kodi ni 350,000/mwezi
.
Usiumize akili yako kutafuta mteja au mali. Tupo hapa kwa ajili yako, tutatafuta badala yako.
Karibu

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa