120m² Kiwanja in Mwanza

120m² Kiwanja in Mwanza - Tanzania
  • 120m² Kiwanja in Mwanza - Tanzania

Type de Transactionsell

Superficie120 m2

Weka maudhui :

Kiwanja ni kizuri kipo square usisite kuwasiliana nami, ni kiwanja halali hakina mgogoro nisalama na cha uhakika, serikari ya mtaa inanitambuwa, piya nipo tayari kubadilishana na MTU mwenye kiwanja maeno ya marimbe na maeneo yote ya jilani na malimbe ila kwa makubaliano maaru baada ya kuthaminisha viwanja kama kunafidiana, ...nafanya hivi kwasababu nilinunuwa maeneo mengi Usagara na sina maeneo sehemu nyingine.

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia Deals.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa