

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz
Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!Jumia Deals.co.tz ni tovuti inayohusika na kurusha matangazo madogo madogo ambayo inakupa nafasi ya kurusha matangazo yako bure kwa njia rahisi. Ni njia pekee itakayo kukutanisha na watu wa kawaida na wajuzi wa fani mbalimbali kutoka sehemu mbali mbali ambao wanahusika na biashara tofauti tofauti za Makazi, magari, simu za mkononi, thamani za ndani, na wanaotangaza nafasi za kazi hapa Tanzania, hivyo inakupa fursa ya kutafuta chochote unachohitaji! Anza leo kutengenea soko katika eneo unaloishi!