Sululisho la kupunguza uzito na kitambi

Sululisho la kupunguza uzito na kitambi - Tanzania
  • Sululisho la kupunguza uzito na kitambi - Tanzania
Description :

KWA NINI WENGI HUSHINDWA KUPUNGUA UZITO?

NINI KIFANYIKE KATIKA KUPUNGUZA UZITO, KITAMBI, NYAMA ZEMBE SEHEMU ZA MWILI? KUPUNGUZA UZITO KUNAWEZEKANA
Watu wengi hufanya mazoezi, wengine wanakunywa maji ya moto, wengine wanaachakula baadhiya Milo na njia nyingine Nyingi ili kupunguza uzito lakini wanashindwa pata matokeo, na wengi wakisitisha ratiba ya mazoezi audiethujikuta wakiongezeka tena uzito au zaidi ya awali. Kwanza twende kuangalia madhara yake ktk afya zetu..

MADHARA YA KUWA NA KITAMBI NA UZITO MKUBWA!!! Ukiwa unauzito wakupitiliza itasababisha madhara yafuatayo;
1.Inapunguza uwezo wako wa kufikiria; IQ yako IQ itakuwa miaka 10 nyuma kwa kufikiri.
2.Tatizoya fibroids kwa wanawake
3.Tatizo la hormonal imbalance kwa wanaume na wanawake na kupelekea wanawake na wanaume kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto.
4. Magonjwa sugu kama vile kisukari, shinikizo la damu, matatizo ya figo,ugonjwa wa moyo.
5.matatizo ya tezi dume na ugumba kwa wanaume.
6. Upun gufu wa nguvu za kiume, n.k. Siyo mambo ya kuyachukulia kirahisi hayo. Lakini kwa walio wengi kupunguza uzito imekuwa zoezi gumu sana kwao. Leo nataka ujue kuwa kupunguza uzito itakuwa kaz inyepesi

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data