Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili
yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.
DALILI ZINAZOAMBATANA NA UGONJWA HUU NI HIZI ZIFUATAZO
1.Mtu kuhisi ganzi
2. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika.
3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi
MAMBO AMBAYO HUPELEKEA NEVA HIZI KUDHOOFIKA NA KUSHINDWA KUFANYA KAZI VIZURI NI HAYA YAFUATAYO:
1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).
2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi
3.Uzito mkubwa wa mwili,
4.Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy).
5.Shinikizo la damu
SULUHISHO MIGUU KUWAKA MOTO
Description :
Our safety tips
- Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
- At all costs, avoid paying before seeing the item.
- Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
- Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
- If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
- Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
- Beware of offers that are too good to be true.
This listing was not posted by a representative of Jumia. Jumia cannot guarantee the origin of the product / service.