SULUHISHO LA WATOTO KUKOSA HAMU YA KULA

SULUHISHO LA WATOTO KUKOSA HAMU YA KULA   - Tanzania
  • SULUHISHO LA WATOTO KUKOSA HAMU YA KULA   - Tanzania
Description :

KUKOSA HAMU YA KULA KWA MTOTO
SABABU NA SULUHISHO LAKE:-

Hizi ndizo sababu nane zinazosababisha watoto wasile.
Watoto wengi husumbua sana kula kipindi fulani cha maisha yao, japokuwa wapo ambao sio wasumbufu kula.
Kuishiwa hamu ya kula kuna vyanzo vingi ambavyo mzazi anatakiwa avichunguze kwa mtoto wake badala ya kufoka au kumanza kumpa dawa mbalimbali.
Kutokula huku ni hatari kwa mtoto kwani huweza Kuwa chanzo cha magonjwa nyemelezi kwa mtoto.
Zifuatazo ni sababu nane Kwa nini mtoto anapoteza hamu ya kula.

1. Ukuaji wa taratibu : Mwaka wa mtoto huwa anakua kwa kasi sana hivyo hamu yake ya kula huwa nzuri Kwa Sababu mwili Unahitaji Virutubisho vingi kwa ajili ya ukuaji lakini akifika mwaka mmoja kwenda wa pili Ukuaji Unapungua kasi hivyo kula kidogo kipindi hiki ni hali ya kawaida kabisa.

2. Magonjwa : Wakati Mwingine Tatizo la Mtoto Kukosa hamu ya Kula huashiria Dalili za Ugonjwa fulani ambao ni Vyema Ukafahamika na Kupatiwa Ufumbuzi na Kumuondoa Mtoto Kwenye hali hiyo , Ugonjwa Wowote atakao upata mtoto huchangia kukosa kwake hamu ya kula hivyo kama mtoto ana mafua , kikohozi , Malaria na kadhalika basi tegemea hamu yake ya kula itakuwa chini sana.

3.Msongo wa mawazo : Kama walivyo watu wazima watoto pia hupata mawazo sana . Endapo kuna changamoto zinawakabiri kwenye maisha yao na wakati mwingine mzazi Inaweza Kuwa Chanzo Cha Matatizo hayo – Mfano : Kutoa adhabu kali akifanya kosa , Kumfokea na kumtukana mbele za Watu , Kumnyima haki zake za msingi kama hela ya kula shule na Nguo za kuvaa , Matunzo na Malezi Mabaya au kifo cha Mzazi au Mlezi.

4. Matumizi ya dawa : Kama mtoto wako kuna dawa anameza basi zinaweza kumfanya akose hamu ya kula mfano dawa nyingi za kuua bakteria au antibiotics hupunguza hamu ya kula.

5. Upungufu wa damu : Hii ni hatari sana kwa watoto kwani inaweza kufanya mtoto ashindwe kukua na Kuwa na maendeleo mabovu darasani hivyo ni muhimu pia kupima damu ya mtoto kuona kama ana upungufu wa damu au vipi.

6. Minyoo : Aina Mbali Mbali za Minyoo ya tumbo hushambulia kuta za tumbo Na Kusababisha kichefuchefu na kuharisha , hali hii huweza kuchangia sana kuondoka kwa hamu ya kula.

7. Choo ngumu sana : Kama Choo inatoka ngumu sana maana yake kuna vyakula vingi havitoki tumboni hivyo mtoto hawezi kula.

8.Ukosefu wa madini muhimu mwilini : Baadhi ya madini kama vitamin b, vitamin c na kadhalika ni muhimu sana kwa ajili ya kuongeza hamu ya kula. Ukosefu wa madini hayo huweza kuondoa hamu ya kula.

*NAMNA YA KUKABILIANA NAO WATOTO ILI WALE,*

cha kuzingatia ni kutibu chanzo husika cha kukosekana kwa hamu ya kula.
Usimtukane au kumchukiza mtoto wakati wa kula kwani utamfanya ashindwe kula kabisa na kama Una Kesi Naye basi ni Vyema Usubiri amalize kula.
Weka ratiba yako vizuri ili upakue wakati mtoto ana njaa sio kula tu sababu muda umefika.

MYCHOCO Alkaline Chocolate Drink ni premium chocolate beverage iliyoandaliwa kutoka kwenye Cocoa Beans na Kuichanganywa na DHA pamoja na Virutubisho kutoka kwenye Complete Phyto-energizer.

MYCHOCO ndio kinywaji pekee chenye ladha ya chocolate ikiwa na manufaa lukuki Kiafya.

Ni kinywaji Bora kwa Watoto wanohitaji kufanya vizuri Darasani na kwenye Michezo Yao.

MANUFAA YAKE MWILINI ❤
1⃣ Humsaidia mtoto kupata hamu ya kula

2⃣ Humsaidia mtoto kuwa na Afya ya Ubongo.

3⃣Husaidia kuimarisha kinga ya mwili ya mtoto.

4⃣Humfanya mtoto kuwa na afya njema na kuwa mchangamfu muda wote.

Boresha Afya ya Mwanao na Bidhaa ya MYCHOCO
.
.
Natuma Mikoa Yote Tanzania

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data