Stainless steel tanks

Stainless steel tanks - Tanzania
  • Stainless steel tanks - Tanzania
Description :

Matenki magumu kabisa ya stainless steel ambayo hayapati kutu wala ukungu na yanatengenezwa pamoja na stand zake........! Yanafaa kuhifadhia
maziwa,mafuta,juice,pombe, chemikali,pamoja na nafaka.

Yanahifadhi kila aina ya vimiminika na nafaka kwa muda mrefu bila kuharibika.

Utatengenezewa muundo upendao mfano la duara, sanduku, la kusimama n.K

tunafanya delivery mpaka nyumbani kwa mteja hata kwa pc moja.
Tupo mbezi beach africana dar es salaam. Bagamoyo road.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data