Description :
STAINLESS STEEL TANK 304 materials
Stainless steel tanks Tanzania
Ni watengenezaji pekee wa stainless steel tank kwa matumizi mbalimbali ikiwemo majumbani , maofisini, mashuleni,vyuo mpaka kwenye viwanda kwa kuhifadhia maji, chemical viwandani, kuhifadhi dawa mbalimbali ,,pombe, Asali,mafuta,na vitu vingine vinavyowez kuhifadhika kwenye tank
SIFA ZINGINE ZA STAINLESS STEEL TANK