In partnership with:
Cart

SMART COOKER - Jiko la kisasa la Digital linapika vyakula vyote

Price:
TZS 250,000
items left

Out of stock

Product Location:Dar Es Salaam - Dar Es Salaam City
Estimate Shipping Fees

Seller information

Member since 2014-08-18
Available payments
Pay cash on delivery/pickup
Return Policy
Returns accepted within 3 days, only for damaged or wrong products. Return offered in the form of Cash refund or Product exchange. Buyer is the responsible for the shipping fees.

Product Details

Habari njema Kwa wamama,wadada,bachelors na wanavyuo wa hostel
Okoa pesa,muda ,gharama kubwa za umeme na gas
Tumia SMART COOKER - Jiko la kisasa la DIGITAL LINALOTUMIA UMEME MDOGO SANA KULITUMIA
UKUBWA WAKE NI LITA - 5
Linapika vyakula vyote, ugali,wali nk
Haliunguzi Chakula,haligandishi Chakula(Non-stick) hivyo kupunguza matumizi ya Mafuta ya kupikia
Linachemsha supu,maji nk
Linakaanga chips,nyama nk
Linaoka cake,mikate nk
Linatost mikate nk
Linatengeneza pop corn
Linachoma nyama,mishikaki nk
Linatumika kama Oven na Microwave
Ni rahisi KULITUMIA na ni Salama Kwa mazingira yote
LEGEND
New
5.00 kg
Be the first to ask a public question about this item and help the community!
Listing ID - LE849HAASM20TZBID
Report this item