SIRI YA MTOTO KUKATA KULA NA SURUHISHO lake

SIRI  YA MTOTO KUKATA KULA NA SURUHISHO lake - Tanzania
SIRI  YA MTOTO KUKATA KULA NA SURUHISHO lake - Tanzania
  • SIRI  YA MTOTO KUKATA KULA NA SURUHISHO lake - Tanzania
  • SIRI  YA MTOTO KUKATA KULA NA SURUHISHO lake - Tanzania
Description :

Je umewahi kukuuliza kwanini watoto huwa wanakataa kula?
Kwanini watoto wengine mpaka utumie fimbo ndipo ale na hata akila anatapika licha ya kwamba NI haumwi?
Basi naomba soma huu ujumbe unaweza kuwa msaada kwa mwanao ambaye anakataa kula na amepoteza hamu ya kula kabisa twende pamoja Sasa.

Watoto wengi hua hawapendi kula hasa hasa matunda na mboga mboga na hii inasababishwa na sababu kuu Kama zifuatazo.

Kwanza NI minyoo amabayo ipo mwilini mwake.
Pili NI upungufu wa vitamin c.

Upungufu wa madini chuma.
Pamoja na upungufu wa damu kwa mtoto.Nahivyo miili yao inakosa ulinzi ndo maana wanashambuliwa na magonjwa mbalimbali, Pia watoto wanakosa afya nzuri pengine hawali kwa wakati na wanachokula hakina virutubisho/nutrients pengine ni kwa sababu wanachagua vyakula.

Unaweza kumfanya mtoto wako kupenda kula kwa kuzingatia muda sahihi wa kula na pia kula nae,mtoto anafarijika na yeye anakula..

Hivyo acha kumjaza mwanao madawa na chemicals za kufanya ale shakula ,Tunacho kirutubisho kwa watoto wasiopenda kula, kama mtoto wako hapendi kula na afya yake inadhoofu unaweza kumpatia mychoco ambayo Ina Radha ya chocolate ambayo pia itampa hamu ya kula lakini pia atajipatia virutubisho stahiki na manufaa mengine mengi.

MANUFA YA (MY CHOCO) KIAFYA
1. Ina ladha ya Chocolate na Cocoa na ni tamu huvutia watoto wasiopenda Kula
2. Inamsaidia Mtoto kumpa Hamu ya Kula
3. Inasaidia Mtoto kupata aina za VIRUTUBISHO 16,000 kutoka kwa Mimea asili, aina 12 za Mboga Mboga, aina 12 Matunda, aina 12 za Uyoga pamoja na 26 za Madini na Vitamin inayo hitajika katika Afya haswa Watoto
4. Fatty Acids zinasaidia kujenga nyama za Mwili
5. Amino Acids Husaidia katika Allergies kwa Watoto
6. DHA + (Omega 3) Husaidia Kumbukumbu kwa watoto, ufanisi wa Ubingo kwa watoto (Ukuuwaji wa Watoto)
7. Madini Husaidia Watoto wenye Ugonjwa wa Kifafa
8. Inamsaidia Mtoto kuwa na Kinga imara za Mwili
9. Inaboresha Ufanis wa Ubongo (Brain Activity) DHA ENHANCEMENT
10. Inamsaidia Mtoto Kuwa na Afya Bora
11. Insaidia kuzalisha Chembe Hai, na Kumlinda na Magonjwa
12. Nzuri kwa Wamama wajawazito na Watoto wanao kuwa
13. Inamsaidia Mtoto kua na Choo kizuri kutokana na Digestive Enzymes wanao saidia mmengenyo wa chakula.

Pata Alkaline chocolate drink kwa afya bora ya familia yako .Hivyo kama na wewe unamwanao anakusumbua kula chakula utakuwa umeidhurumu nafsi yako Kama utashindwa kujaribu kirutubisho hiki kilichowasaidia watoto woote Kama wa kwako.Kwa nawasiliana zaidi na ushauri wa Bure wasiliana nasi kupitia namba yetu ya WhatsApp tuliokuwekea hapo piga au tuma sms au vyovyote vile tutakusaidia ahsante saaana.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data