SIRI FUPI YA KUJITIBIA FANGASI NA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI.

SIRI FUPI YA KUJITIBIA FANGASI NA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI. - Tanzania
  • SIRI FUPI YA KUJITIBIA FANGASI NA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI. - Tanzania
Description :

Habari ndugu,Inawezekana wewe NI miongoni mwa wanawake wenye tatizo la kuwa na UCHAFU ukeni ambao unasababishwa na magonjwa mbalimbali ya UZAZI.
Basi nakuomba usome ujumbe huu ninaoenda kukupa mda mfupi ujao,na pengine tatizo Hilo umekuwa nalo NI miezi,miaka au hata mda mfupi na umehangaika kutafuta ufumbuzi bila kuona mafanikio mazuri.Na ninasema hivyo kwa sababu guy ujumbe ninaokupa Kuna zaidi ya wanawake zaidi ya 100 wamepona kupitia ujumbe huu unaweza kutokomeza kabisa tatizo lako na hautaweza kuhangaika Tena kutumia mdawa ya mahospitalini.
Hivyo Kama wewe NI mmoja ya wenye tatizo Hilo kwanza nikupe pole kwani naelewa shida wanazopata dada zetu,mabinti zetu,na wakati mwingine anakosa Raha kabisa kwani hawezi kukukaa na wenzake kwa mda mrefu kwa kuogpa kusemwa.
Vilevile hii inakuwa inatokana na kutokwa na aina mbalimbali za UCHAFU Kama zifuataazo.
kawaida kutokuwa na uwiano sawa
kati ya bacteria waishio katika uke kinaweza kuleta mabadiliko katika rangi, harufu au muundo wa uchafu utakaotoka katika uke kwenye mwili wa mwanamke husika mfano.

Uchafu Wenye Damu Au Wa Rangi Ya Kahawia

Hii ni dalili ya mzungumko wa mwezi wa mwanamke uliovurugika na mara chache ni dalili ya kansa ya Cervix au aina nyingine ya kansa iitwayo endometrial cancer. Mwanamke mwenye tatizo hili atatoa damu nyingi ukeni na kuumwa nyonga.

Uchafu Wenye Rangi Ya Mawingu Au Njano

Hii ni dalili ya ugonjwa wa kisonono (Gonorrhea). Mwanamke atatokwa na damu katikati ya siku zake, atatokwa na mkojo bila kukusudia na kupata maumivu ya nyonga.

Uchafu Wa Njano Au Kijani Wenye Harufu Mbaya,
Endapo uchafu utatoka kama mapovu, wenye rangi ya kijani au njano ukiambatana na harufu mbaya , hii ni dalili ya Trichomoniasis, maambukizi (parasitic) yanayotokana na ngono zembe. Dalili nyigine ni maumivu na kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo.

Uchafu Mweupe Mzito Kama Jibini

Hii ni dalili ya maambukizi ya aina ya fungus (Yeast infection) na dalili nyingine atakazozisikia mwanamke huyu ni kuvimba na maumivu kwenye sehemu za nje za siri (vulva), kuwashwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa.

Uchafu Mweupe, Wa Njano Au Wa Kijivu Wenye Harufu Ya Samaki huashiria maambukizi katika via vya uzazi Na mengine mengi tu ,lakin lipo suluhisho simple kabisa iliyowasaidia WANAWAKE wengi kupata suluhu bila shida na leo hii wapo vizuri ambapo hawana Cha kuekezea zaidi ya kumshukuru mungu lakini pamoja na kumshukuru mungu pia wanamshuru mtu aliye tengeneza kirutubusho na mafuta yaliyomponyesha tatizo lake hivyo na ww Kama inatatizo Kama hili utakuwa umeidhurumu nafsi yako Kama utashindwa kujaribu dawa tulizomsaidia mwenzako hivyo karibu tukusaidie na pia tunatoa ushauri bure ahsant saaana.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data