SARATANI YA MATITI NI NINI FAHAMU

SARATANI YA MATITI NI NINI FAHAMU - Tanzania
SARATANI YA MATITI NI NINI FAHAMU - Tanzania
SARATANI YA MATITI NI NINI FAHAMU - Tanzania
  • SARATANI YA MATITI NI NINI FAHAMU - Tanzania
  • SARATANI YA MATITI NI NINI FAHAMU - Tanzania
  • SARATANI YA MATITI NI NINI FAHAMU - Tanzania
Description :

SARATANI YA MATITI NI NINI?

Ni mabadiliko ya chembechembe hai zilizopo kwenye matiti saratani hii kwa kawaida haina dalili katika hatua za mwanzo. Wanawake katikahatua za mwanzo za ugonjwa hawana maumivu au dalili nyingine zozote.

Uchunguzi wa awali ndio utakao wezesha kuugundua ugonjwa katika hatua hii mabadiliko yaletwayo na saratani ya matiti.

Kivimbe katika titi au kwenye makwapa.Mabadiliko ya umbo na ukubwa wa titi.Kutokwa na majimaji au damu katika chuchu ama chuchu kuingia ndani ya ziwa.Mabadiliko katika rangi ya ngozi ya titi (kuonekana kama sehemu ya nje ya ganda la chungwa).

MAMBO YANAYOCHANGIA KUPATA SARATANI YA MATITI

Jinsi ya kikeKuanza hedhi katika umri mdogo.Kukoma siku katika umri mkubwaKutozaa kabisa.Kutonyonyesha kabisa au kunyonyesha kwa muda mfupi.Utumiaji mafuta mengi katika chakula.Kutokufanya mazoezi ya mara kwa mara.Unene kupita kiasiUvutaji sigara.Utumiaji wa pombe kupita kiasi.Historia ya saratani ya matiti katika familia.

JINSI YAKUJILINDA NA SARATANI YA MATITI

Kujichunguza mwenyewe mara kwa mara kwa mara.Uchunguzi wa kitabibu wa matiti kila mwaka.Uchunguzi wa matiti kwa njia ya mashine ya mionzi (mara moja kwa mwaka kwa wenye miaka zaidi ya 40).Wanawake wote wenye umri kuanzia miaka 21 wajichunguze matiti yao siku ya 5-7 baada ya kumaliza hedhi mbele ya kioo.

HATUA 5 RAHISI ZA KUJICHUNGUZA MATITI

Jiangalie katika kioo ukiwa umesimama wima na umeweka mikono kiunoni.Angalia kama kuna mabadiliko katika umbo au rangi ya ngozi ya titi na kama

AU

Ukiwa umesimama au umelala chali tumia mkono pamoja na kipaji cha vidole vya mkono wa kulia kuchunguza titi la kushoto na mkono wa kushoto kuchunguza titi la kulia kwa njia ya mzunguko.Kwa upole kamua chuchu ya kila titi na chunguza kama kuna ute ulio changanyika na damu.Muone daktari kama kuna uvimbe au ute ulio changanyika na damu au hali yoyote ulioiona wakati wa kujichunguza

Tunatowa matibabu mbadala ya vyakula tiba /tiba lishe

Ushauri elimu
Mawasiliano
Yapo chini apo

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data