BrandSamsung
Samsung za ina mbalimbali kutokana nje ya nchi. Uingeleza, Dubai, South Africa Zinapatikana kwa bei nafuu
Samsung s8
Samsung s9
Samsung s9+
Samsung Note 8
Samsung Note 9
Kama inavyojulikana Samsung Kama kampuni inajitahidi kutoa product zinazokaa muda mrefu kwenye soko kutokana na camera nzur muonekano na ubora.samsung Galaxy moja ya Simu iliyokaa muda mrefu kwenye market na kufanya vzur
Wengi Wetu kwenye uchaguzi wa Simu tunaangalia BEI,Camera,Storage,Ram,Battery hivi ni vitu vya msingi Lakini Samsung ina features nyingi ambazo ukizijua uta enjoy Sana hizi Simu mfano
Multiple task
task automation
office product
adroid app ecosystem
Biomedical device
Security folder