SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA

SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA - Tanzania
SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA - Tanzania
SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA - Tanzania
  • SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA - Tanzania
  • SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA - Tanzania
  • SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA - Tanzania
Description :♥️Kwa kawaida mwanamke anatakiwa apate ujauzito ndani ya mwaka mmoja baada tu ya kuolewa au kuanza uhusiano. Tunategemea baada ya miaka miwili hadi mitatu baada ya kupata mtoto apate mwingine labda kama hajaamua yeye pamoja na mumewe. Ujauzito unapatikana baada ya kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu, yaani katika kipindi ambacho mwanamke anaweza kupata ujauzito (siku za hatari).

♥️Swala hili pia linaangalia kwa upande wa pili wa mwanaume ambaye pia tunategemea ana uwezo huo wa kumpa mwanamke mimba kwa kuwa na mbegu zenye ubora na nyingi, pia awe na nguvu za kutosha za kufanya tendo ili mwezi wake apate ujauzito. (Kuhusu mwanaume tayari somo lake).

♥️♥️ZIPO AINA MBILI ZA KUTOSHIKA MIMBA (INFERTILITY)*

♥️

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data