SABABU YA KUPATA CHOO KIGUMU NA TIBA

SABABU YA KUPATA CHOO KIGUMU NA TIBA - Tanzania
  • SABABU YA KUPATA CHOO KIGUMU NA TIBA - Tanzania
Description :

SABABU MADHARA YA KUKOSA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU

Sababu, madhara ya kukosa choo ‘Constipation’
Tatizo la kukosa choo (constipation) ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi sana katika dunia, watu wamekuwa wakiteseka bila kujua nini chanzo cha tatizo hili na vipi kuliondoa tatizo hili na wengine wamekuwa wakilipuuzia bila kujua madhara ambayo wanaweza kuyapata kutokana na tatizo hili.

kukosa choo hutokea pale mtu anakula vizuri lakini unakata siku tatu hadi nne bila kupata choo. Ukiona unakula kutwa mara tatu na unakaa siku mbili hadi tatu huendi chooni au unatoa choo kigumu kama mbuzi hilo ni tatizo kwako.

Tafiti zinaonyesha mtu anaweza kupoteza maisha kama atakosa choo kwa siku tano hadi saba mfululizo. Watu wengi hulidharau tatizo hili lakini linamadhara makubwa tofauti na wanavyofikiria.

Zipo sababu za kukosa choo, kama ifuatavyo

Kupenda kula saana vyakula vilivyokobolewa kama vile ugali wa sembe, mikate.

Ukosefu wa mbogamboga za majani na matunda ya faiba kama machungwa huongeza tatizo hili,

kila mtu unatakiwa kula matunda aina mbili na mboga za majani aina mbili kila siku.

Matumizi makubwa ya pombe na sigara.

Unywaji mdogo wa maji, Kila mtu anapaswa kunywa maji kwa kiwango cha chini lita 3 kila siku na usinywe maji wakati unakula, kunywa maji nusu saa kabla au baada ya kula.

Matumizi mabaya ya madawa. Mfano dawa za presha, aleji n,k.

Kuugua kisukari au ugonjwa wa misuli.

Kansa ya utumbo mpana.

Yafuatayo ndiyo madhara yatokanayo na kokosa choo;

Unaweza kuugua saratani ya utumbo mpana.

Unaweza kupata tatizo la tumbo kujaa gesi.

Figo yako inaweza isifanye kazi vizuri.

Unawezasababisha magonjwa ya moyo.

Unaweza pata tatizo la kukakamaa mishipa ya damu ambapo utasababisha miguu kuwaka moto na ganzi miguuni au mikononi

Unawezasababisha magonjwa ya ini

Unawezapata kisukari

Kuongeza lehemu (cholesterol)nying kwenye damu

Vitambi visivyo tarajiwa na nk

Zipo njia nyingi ambazo hutumika kuondoa tatizo hill

Ila njia njema na nzur ni ile yenye uwezo wa kutoa mafuta yalio zid kwenye mwili kuondoa kitambi na Kuongeza nyuzi nyuzi kwa wingi mwilin

Vitu hivyo vyote unaweza kuzipata katika matunda

Ipo bidhaa yenye mchanganyiko wa matundo na mboga mboga FOS &RADIX ASTRAL hiyo inaweza kuondoa hilo tatizo bila kuacha madhara katika mwili

Kumbuka vyanzo vingi vya magonjwa huanzia tumboni ivyo tafutasuluisho LA tatizo hili ili kujikinga na magonjwa mbalimbali

Karibu kwa ushauri na Tiba
#MalizaChangamotoNa Constrelax
#Jawabu la Afya

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data