Watu wengi hudhani kama mwanamke hapati ujauzito basi tatizo na lawama zote zitakuwa ni upande wa mwanamke, lakini hilo si lazima mara zote liwe hivyo.
Kuna uwezekano mkubwa kuwa tatizo la kutopata mtoto katika familia likawa linatokana na ugumba upande wa mwanaume.
Visababishi vya ugumba kwa mwanaume:
1. MBEGU CHACHE (low sperm count):*
Ni moja ya kisababishi kikubwa cha ugumba kwa wanaume wengi. Ni mhimu wenza wote kufanya vipimo inapobainika wamekaa muda mrefu bila kupata mtoto. Wakati wanawake wanahitaji vipimo vingi kujua chanzo cha ugumba wao, wanaume wao wanahitaji kipimo kimoja tu nacho ni cha kujua uwingi wa mbegu na afya ya mbegu kwa ujumla (sperm analysis).
Vipo vipimo vidogo vya kawaida kwa ajili ya kupimia uwingi wa mbegu unavyoweza kuvitumia hata mwenyewe binafsi ukiwa nyumbani au unaweza kumuona daktari kwa vipimo vya jumla zaidi.
Mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha anahitaji kuwa na mbegu zisizopungua milioni 20, chochote chini ya hapa kinaweza kuwa sababu ya kutokutungisha ujauzito.
Ikitokea umegundulika kuwa na mbegu chache, ni nyepesi sana na hazina nguvu za kukimbia vya kutosha basi makala hii itakupa maelezo juu ya dawa za asili zinazoweza kukusaidia hilo.
Visababishi vya mbegu kuwa chache
Kuna vitu vingi vinavyoweza kusababisha tatizo la mbegu chache na ugumba kwa ujumla kwa wanaume, kwa bahati nzuri vingi ya vitu hivyo tunao uwezo wa kuvidhibiti kwa kupunguza matumizi yake.
2. VIFAA VYA KIELETRONIKI
Vitu hivyo ni pamoja na Vifaa vya kieletroniki.
Tafiti zimeonyesha vifaa vingi vya kisasa vya kieletroniki vinasababisha kushuka kwa wingi na ubora wa mbegu kwa wanaume wengi miaka ya sasa kwani mionzi yake hupelekea joto lisilohitajika katika mifuko ya mbegu za kiume. Vifaa hivi ni pamoja na simu na Kompyuta.
Unashauriwa kutokuweka simu ndani ya mfuko wako wa suruali kwa kipindi kirefu na kutokuweka kompyuta mpakato (laptop) kwenye mapaja yako wakati wote ukiitumia. Ni mhimu pia kutokutumia masaa mengi kutwa nzima ukiwa kwenye kompyuta.
NOTE: Sio kila mwenye upungufu wa nguvu za kiume ni mgumba anaweza kutungisha mimba kabisa, shida ni mda wa tendo.
SURUHISHO LA KUDUMU
TUNAVIRUTUBISHO VITAVYO KUSAIDIA KUONDOA TATIZO HILI KWA MUHANGA
SABABU UGUMBA KWA MWANAUME
Description :
Our safety tips
- Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
- At all costs, avoid paying before seeing the item.
- Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
- Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
- If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
- Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
- Beware of offers that are too good to be true.
This listing was not posted by a representative of Jumia. Jumia cannot guarantee the origin of the product / service.