SABABU NA TIBA MAUMIVU YA MAGOTI

SABABU NA TIBA MAUMIVU YA MAGOTI - Tanzania
  • SABABU NA TIBA MAUMIVU YA MAGOTI - Tanzania
Description :

Kisababishi namba moja ya goti au magoti kuuma ni kuisha kwa ute ute...

KUKOSEKANA KWA UTE KATIKATI YA VIUNGO (JOINTS) NA ATHARI YAKE KWENYE CARTILAGE

Kajiraba fulani ambako hujulikana kwa jina la kitaalamu kama “Cartilage” (katileji) ambako hupatikana katikati ya mifupa.
Kuna kitu fulani huwa kinapatikana katikati ya mifupa miwili ya goti la mnyama (ng’ombe, mbuzi) huwa wengi wanapenda kukila kwenye baada ya kuchemshwa au kupikwa huu ni mfupa laini kabisa unaotafunika ..Kama unaijua hii, basi ndio katileji yenyewe.

Katileji inasaidia kuikinga mifupa isiumie.Vilevile inafanya kazi ya kusaidia kuubeba uzito wakati wa kutembea, kuinama, kunyoosha viungo au kukimbia.
Zaidi ya asilimia 85 (85%) ya katileji ni maji ( Synovial Fluids), na jinsi umri unavyosonga mbele, maji hayo huwa yana kawaida ya kupungua.
Na asilimia 15 niprotini.Kupungua au kuisha kabisa kwa haya majimaji hupelekea mifupa kugusana na kupelekea katilage kulika au kusagika.

Tatizo hili lipo zaidi kwenye sehemu ya magoti. Endapo katileji inakuwa ina tatizo, husababisha maumivu makali hasa unapotaka kusimama au kutembea, vile vile kwenye mabega, au nyonga. Pia inaweza sababisha uvimbe (goti au nyonga au bega kuvimba).
Mtu ambaye katileji yake ina tatizo aidha imelika au kutokuwepo kabisa, anatakiwa kupatiwa virutubishi ambayo vitasaidia kuirekebisha katileji au kuijaza kwa upya.

USHAURI NA TIBA
Tuna kushauri kutumia Virutubishi lishe kutatua tatizo hili la maumivu katika magoti
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kufahamu zaidi.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data