Transaction Typesell
Area500 m2
Description :
....Viwanja vimeshapimwa tayari na vina Hati
.....Viwanja vipo 4km kutoka lami na vipo jirani na eneo la chuo cha IFM Dodoma.
.....Eneo linaitwa Nala Lugala
....Malipo yetu ni kwa awamu, anza kulipa kidogo kidogo mpaka unamaliza
......Wasiliana nasi tukupatie kiwanja