Product

Product - Tanzania
  • Product - Tanzania
Description :

Faida za kiafya za c24/7

kirutubisho cha c24/7 kina faida nyingi sana za kiafya kwa mwili wa binadamu. Watu wengi wamefaidika kiafya kupitia kirutubisho hiki kizuri.

c24/7 inakulinda kutokana na magonjwa yafuatayo:

~ kisukari
~ kansa
~ presha (bp)
~ magonjwa ya macho
~ magonjwa ya ngozi
~ changamoto za kukosa watoto kwa wanaume na wanawake
~ matatizo ya kipindi cha hedhi kwa wanawake
~ kuongeza cd4 haraka kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi
~ magonjwa ya moyo
~ kupooza (stroke)
~ hamu ya kula
~ asthma
~ allergy
~ kupunguza uzito
~ kutoa sumu mwilini kwa hali ya juu
~ changamoto za kubalance homoni
~ kuleta brain focus
~ kukupa usingizi unaostahiki bila kuamka amka na bila uchovu
~ kukupa umakini wa akili
~ vidonda vya tumbo na kujaa gesi tumboni
~ mifupa na joints kwa wale wenye umri mkubwa
~ matatizo ya mgongo
~ viungo kupata ganzi
~ kuimarisha na kukuepusha na maradhi kwa ujumla na mengine mengi sana ambayo hayajatajwa hapa juu.

kirutubisho cha c24/7

c24/7 ni kindonge( capsule) kilichotokana na utafiti wa muda mrefu na kukusanya virutubisho 140 vya asili ndani ya kirutubisho kimoja. Virutubisho hivyo vimetoka kona zote nne za dunia vikijumuisha vitamini muhimu kwa mwili, madini, amino acids, mafuta muhimu kwa mwili, antioxidants na phyto-nutrients, enzyme kwa kusaidia kuyeyusha chakula.

virutubisho hivi vimetokana na:
- matunda ya kwenye bustani,
- matunda ya mwituni,
- mboga aina ya spirulina family ,
- mboga za baharini,
- majani na miamba ya kando kando ya bahari
- aina tofauti ya uyoga wenye ubora wa hali ya juu

– vyote hivi ndani ya kindonge kimoja!

c24/7 ni kirutubisho cha mwili cha kiada cha kipekee ambacho hakijapata kingine cha kulingana nacho hadi sasa.
ni mchanganyiko uliobuniwa na kufanikiwa kwa kiwango cha juu kurudisha, kukarabati na kuamsha afya ya mtu iliyodorora.

mchanganyiko huu hufanya kazi kwa kuupa mwili virutubisho vyote ambavyo umekosa kutokana na kula chakula cha kisasa kinachokosa virutubisho muhimu.

kwa anayehitaji hii bidhaa nipigie bei ni elf 75 tu.mkoani unatumiwa na kwa dar tunakuletea hadi ulipo.

au bofya link apo chin kujoin katika group linalotoa huduma zote za afya na mafunzo buree

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data