PRESHA YA KUPANDA/KUSHUKA.DALILI ZA PRESHA,SHAMBULIO LA MOYO, MOYO KUTANUKA

PRESHA YA KUPANDA/KUSHUKA.DALILI ZA PRESHA,SHAMBULIO LA MOYO, MOYO KUTANUKA - Tanzania
PRESHA YA KUPANDA/KUSHUKA.DALILI ZA PRESHA,SHAMBULIO LA MOYO, MOYO KUTANUKA - Tanzania
  • PRESHA YA KUPANDA/KUSHUKA.DALILI ZA PRESHA,SHAMBULIO LA MOYO, MOYO KUTANUKA - Tanzania
  • PRESHA YA KUPANDA/KUSHUKA.DALILI ZA PRESHA,SHAMBULIO LA MOYO, MOYO KUTANUKA - Tanzania
Description :

SHINIKIZO LA DAMU/PRESHA YA KUPANDA/KUSHUKA(PRESSURE).

SHAMBULIO LA MOYO, KUTANUKA KWA MOYO/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO.
DAWA YA ASILI YA MATIBABU YA PRESHA, MOYO KUTANUKA, SHAMBULIO LA MOYO.

PRESHA/SHINIKIZO LA DAMU.
Ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa inayo safirisha damu.

Unapo pima shinikizo la damu (presha) majibu yake hutoka na namba mbili:-
1. Namba iliyo juu (systolic)
Hii humaanisha nguvu ambayo moyo wako unasukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili.

2. Namba iliyo chini (Diastolic)
Hii humaanisha nguvu ya damu yako inayotembea kwenye mishipa ya damu wakati moyo umepumzika baada ya kusuma damu katika kila pigo.

⏹️ VIWANGO VYA UPIMAJI PRESHA.

√ Chini ya 110/65mmHg Hypotension (Presha ya kushuka au shinikizo la damu la chini)

√ Chini ya 120/80mmHg Normal (Kawaida)

√ Kati ya 120-129/80mmHg Pre- hypertension (Hatari ya kupata presha ya juu

√ Kati ya 130-139/80-89mmHg 1st stage hypertension ( presha ya juu steji ya kwanza)
Ifikapo 130 na kuendelea basi presha yako iko juu ni vyema kuwa makini zaidi kwa Afya yako.


√ 140/90mmHg au zaidi 2nd stage hypertension (presha ya juu steji ya pili)

Kuanzia 180/120 na kuendelea , Hypertensive crisis ( shinikizo la damu la juu zaidi).

Huku visababishi vya presha vikibakiwa kuwa ulaji usiofaa, magonjwa ya moyo, uzito mkubwa/unene/kitambi, matumizi yasiyo sahihi ya dawa za presha, kurithi, uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe kali.


⏹️ ISHARA NA DALILI ZA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA).

Mara nyingi watu wenye shinikizo la damu hawana ishara yeyote na huwa inagunduliwa baada ya kufanya uchunguzi wa kiafya au presha kubwa kwa muda mrefu inapokuwa imefanya uharibifu mkubwa ndani ya mwili ni pamoja na dalili zifuatazo:-

➡️ Maumivu ya kichwa hasa nyakati za asubuhi.
➡️ Kuhisi kizunguzungu
➡️ Mapigo ya moyo kwenda kwa kasi
➡️ Maumivu ya kifua
➡️ Kupoteza fahamu
➡️ Kupumua kwa shida
➡️ Kujisikia uchovu usiokwisha
➡️ kutoona vizuri
➡️ Kukohoa
➡️ Kuhisi ukelele sikioni n.k

⏹️ SABABU/CHANZO CHA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA).

➡️ Umri
➡️ Msongo wa mawazo (strees)
➡️ Kuwa na mazoea ya kutumia chumvi nyingi kenye chakula
➡️Ulaji usiofaaa
➡️ Ukosefu wa shughuli za kimwili
➡️ Ulevi uliokithiri
➡️ Kuwa na unene uliopitiliza
➡️ Ujauzito

⏹️MADHARA YA KUENDELEA KUISHI NA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA).

➡️ Moyo kushindwa kufanya kazi (Heart Failure)
➡️ Moyo kutanuka (Cardiomegaly)
➡️ Shambulio la moyo ( Heart attack)
➡️ Kiharusi/Kupooza (stroke)
➡️ Kuharibu figo na figo kushindwa kufanya kazi
➡️Kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.

⏹️ ZINGATIO.
Licha ya uwepo wa dawa mbali mbali za kukabiliana na tatizo hili bado huendelea kuwatesa na kuwaua wengi kila mwaka.

Pamoja na jitihada mbali mbali bado utasikia kila mwaka milioni 8 hufa kutokana na changamoto hii.
Huku watu bilioni moja duniani kote wanaathiriwa na shinikizo la juu la damu likiwapelekea kupata shambulio la moyo, kupooza na moyo kutanuka.
Na ni kwa mujibu wa WHO.

Muhimu, iko mimea tiba yenye kuweza kukusaidia na ukapona kabisa.
Dawa hii utapaswa kuitumia kwa muda wa siku 6 pekee na utafanikiwa kuidhibiti na kuondoa tatizo hili.

Kwa ushauri na msaada wa matibabu, waweza wasiliana nami kwa namba 0678640098.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data