Transaction Typesell
Area854 m2
⚫Vipo karibu na stand kuu ya mabus Maili moja.
⚫Bei yetu ni nafuu,cash 9,500/SQM na kwa installment bei ni 10,000/SQM.
⚫Huu mradi upo karibu na Loliondo Mnadani.
⚫Viwanja vimepimwa tayari na utapata hati.
⚫Malipo ni cash au kwa awamu
⚫Vipo Viwanja vya ukubwa mbalimbali.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫Tuna viwanja maeneo mengine ya Misugusugu Kibaha, Vigwaza, Sofu Picha ya Ndege Kibaha, Mapinga Beach Plots Bagamoyo, Mbutu Beach Plots Kigamboni, Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga Kigamboni, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni...Dodoma maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala Lugala, Kitelela, Mahoma Makulu, Msalato Airport, Iyumbu, Ihumwa...