Transaction Typesell
Area620 m2
⚫Viwanja vipo karibu na soko kuu la Job Ndugai.
⚫Bei yetu ni ya punguzo yaani 15,000 kwa square meter moja.
⚫Viwanja vipo Kilometres 12 kutoka City center.
⚫Pia mradi huu upo karibu na stand kuu ya mabus ya Nanenane.
⚫Vipo viwanja vya ukubwa tofauti tofauti.
⚫Viwanja vimepimwa na utapata hati.
⚫Tuna miradi mingine maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala, Chahwa, Kitelela, Mahoma Makulu, Dar tuna viwanja maeneo ya Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni, Kisota Kigamboni, Mbutu Beach Plot Kigamboni, Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga Kigamboni, Mapinga Bagamoyo, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Vikawe...Karibu Sana