Transaction Typesell
Area1000 m2
Viwanja vimepimwa na vina hati
⚫Bei yetu ni 2,000/SQM.
⚫Lipia 200,000 kila mwezi Hadi ukamilishe(installment)
⚫Vipo umbali wa KM 6 kutoka Vigwaza Mizami.
⚫Viwanja Vipo pembezoni mwa barabara inayojengwa inayoelekea bandari mpya.
⚫ Miundombinu ya barabara na umeme tayari imeshafika.
⚫Vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia SQM 650 Hadi SQM 1,247
⚫ Kutembelea site ni kila siku,hakuna gharama
⚫Eneo ni tambarare na linafaa Kwa Makazi na biashara
⚫Tuna miradi mingine maeneo ya Kigamboni kama Cheka, Kisota , Mbutu na Chekeni Mwasonga..Pia tuna miradi maeneo ya Madale Mivumoni, Bunju Mji mpya, Mwapinga.Kibaha Tuna miradi maeneo ya Vikawe, Pangani , Misugusugu, Fukayosi na Kwa Dodoma tuna miradi maeneo ya Ihumwa, Chamwino, Iyumbu, Iyumbu, Kitelela, Nala, Chahwa na Itega.
⚫Wahi sasa ofa hii ya Viwanja
⚫Ofisi zetu zipo Nyuma ya Ubungo plaza, KARIBU SANA