Transaction Typesell
Area452 m2
⚫Viwanja hivi vimepimwa na utapata hati.
⚫Vipo umbali wa Kilometre 3 kutoka Barabara ya rami ya Morogoro.
⚫Ni Viwanja vizuri kwa ajili ya Makazi.
⚫Bei yetu kwa square meter moja ni/>⚫Vipo vya ukubwa mbalimbali.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫Unaweza lipia cash au Kwa awamu.
⚫Tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Vigwaza, Vikawe, Mapinga Beach Plots Bagamoyo, Mbutu Beach Plots Kigamboni, Kisota Kigamboni, Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni....Dodoma tuna viwanja maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala Lugala, Iyumbu, Ihumwa Elshaadai, Mahoma Makulu, Kitelela, Msalato Airport...
⚫Karibu Sana,ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall.