Transaction Typesell
Area430 m2
Viwanja hivi vinapatikana Kibaha Mkoa wa Pwani:
✓Ni Viwanja vizuri na vya kuvutia Kwa ajili ya makazi
✓Vippo karibu na check point (Ofisi za wakala wa vipimo)
✓Vipo umbali wa 500m kutoka Main Road.
✓Viwanja vimepimwa na vina hati.
✓Bei yake ni [email protected]
✓Malipo utaanza na 50% kama kianzio kisha utamalizia kiasi kilichobaki ndani ya muda wa miezi 6.
✓Kutembelea site ni kila siku na ni bure kabisa.
✓Tuna miradi ya Viwanja vingine maeneo ya Bunju, Madale, Kisota,Cheka,Mbutu, Vikawe, Pangani, Mwasonga, na Kwa Dodoma maeneo ya Kitelela, Nala, Chamwino, Chahwa, Mtumba, Ihumwa, Iyumbu, Itega, Mahoma Makulu.
✓Ofisi zetu Kwa Dar es Salaam zinapatikana Nyuma ya Ubungo plaza, na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall.
KARIBUNI SANA