Transaction Typesell
Area432 m2
⚫Bei yetu cash 14,000 na Kwa installment ni 15,[email protected]
⚫Vipo upande wa bahari na vinaface mikoko
⚫Viwanja Vipo umbali wa KM 17 kutoka ferry na umbali wa KM 19 kutoka daraja la Nyerere.
⚫Ni Viwanja vizuri Kwa ajili ya Makazi na biashara
⚫Malipo utaanza kulipa Millioni moja kisha utamalizia iliyobaki kwa kulipa laki 3 kila mwezi.
⚫Site visit ni kila siku na hakuna gharama.
⚫Vipo Viwanja vya ukubwa mbalimbali kuanzia SQM 300 mpaka SQM 700
⚫Tuna miradi mingine maeneo ya Kigamboni kama Cheka, Kisota , Chekeni Mwasonga..Pia tuna miradi maeneo ya Madale Mivumoni, Bunju A..Kibaha Mkoa wa Pwani Tuna miradi maeneo ya Vikawe, Pangani, Misugusugu, Mapinga na Kwa Dodoma tuna miradi maeneo ya Ihumwa, Chamwino, Iyumbu, Iyumbu, Kitelela, Nala, Chahwa na Itega.